Hotuba za IGP Sirro, Mwigulu na Masauni Mbele ya Rais Magufuli

Global TV Online 6 months ago 29 minutes, 31 seconds
2,169 views

13 Likes   2 Dislikes

Supported youtube embed functions and settings.

Hotuba za IGP Sirro, Mwigulu na Masauni Mbele ya Rais Magufuli

Rais John Pombe Magufuli, leo ameshuhudia maeonesho maalum ya jeshi la polisi, ya jinsi jeshi hilo linavyofanya kazi kupambana na wahalifu na kuwalinda rais na mali zao.

Rais Magufuli ameshuhudia maonesho hayo katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake jijini humo ambapo awali alizindua ukuta Mererani, baadaye akafungua chuo cha utalii chenye hadhi ya kidiplomasia na baadaye pia akazindua nyumba za polisi ambao awali waliunguliwa na nyumba zao.

Baada ya maonesho hayo, ilifuatia hotuba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro ambaye alimueleza Rais Magufuli, mafanikio na changamoto za jeshi la polisi.

Baada ya hapo alifuatia Naibui Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni ambaye naye alizungumza machavhe mbele ya mheshimiwa rais kabla ya kumpisha Waziri Mwigulu Nchemba.

lnstal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..

Comments